KICHUYA AMTOLEA POVU TAMBWE ASEMA BADO SANA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 18, 2017

KICHUYA AMTOLEA POVU TAMBWE ASEMA BADO SANA

Like facebook page @mainfo93 uwe wa kwanza kupata habari za michezo

Mchezaji matata wa wekundu wa mwituni shiza kichuya amedai kuwa hata
kidogo hafikirii mapinduzi ya kwa mugabe kurudi bongo na tambwe wa yanga kumpindua kichuya ili awe mfungaji bora.
Kichuya ambaye anaendelea kujifua licha ya kuwa na majeruhi ya hapa na pale amesema tambwe wa yanga bado sana.




“Unajua kwa sasa ushindani umekuwa mkubwa sana kwa washambuliaji ambapo kila mmoja anakitolea macho kiatu cha ufungaji bora, kila mtu anajitahidi kufunga ili aweze kulifanikisha suala hilo.

“Ni ngumu kwa Tambwe kuwa mfungaji bora kwa sababu ameshakosa mechi tisa kwa sababu ya majeraha na hata akirejea haitakuwa rahisi kutukuta kwenye idadi hii ya mabao.

“Akirudi uwanjani, Tambwe atahitaji siku kadhaa za kurudisha makali yake sasa hapo na sisi tutakuwa tunapambana tufunge zaidi kwa hali hii naona haitakuwa rahisi awe mfungaji bora,” alisema Kichuya.



'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();