UWOYA AFICHA SURA YAKE KWENYE KUHANI MSIBA WA NDIKUMANA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 18, 2017

UWOYA AFICHA SURA YAKE KWENYE KUHANI MSIBA WA NDIKUMANA

Muigizaji maaarufu ndani ya maguland irene uwoya usiku wa kuamkia leo ametua
mjini kigali rwanda kwa ajiri ya kuhani msiba wa aliyekuwa mmewe ndikumana hamad.
Aidha,ndikumana alifariki siku kadhaa zilizopita, pia wakati wa mazishi uwoya hakuwepo rwanda, hivyo basi ameambatana na mwanae kwa lengo la kwenda kuhani.
Lakini muda wote amekuwa akificha sura yake.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();