ULIMWENGU ATUA GENK - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 15, 2017

ULIMWENGU ATUA GENK

Kupata habari za michezo tembelea hapa. Ingia google andika mainfo93
Mshambuliaji Mtanzania, Thomas Ulimwengu ameondoka katika klabu
yake ya AFC ya nchini Sweden na kwenda Ubelgiji ambako sasa anafanya mazoezi na kikosi cha KRC Genk.
KRC Genk ndiyo klabu anayoichezea Mtanzania mwingine Mbwana Samatta.
Ulimwengu ambaye ni majeruhi wa goti, ameamua kufanya mazoezi huku akipata matibabu chini ya wataalamu wa klabu ya Genk ambao sasa wanafanya kazi ya kumtibu Samatta ambaye siku chache zilizopita amefanyiwa upasuaji.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();