VIDEO:MARA PAAP DR.SHIKA KATOA BONGE LA NYIMBO - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 22, 2017

VIDEO:MARA PAAP DR.SHIKA KATOA BONGE LA NYIMBO





Kuna picha zilisambaa juzi kati zikimuonyesha Dr. Luis Shika akiwa na Warembo kwenye kiwanja kimoja cha starehe huku akiwa anakunywa Zanana Juice, sasa imethibitishwa kwamba ile ilikua ni video ya Bongofleva inatengenezwa.
Director Khalfan ambae ndio fundi wa hiyo video ameithibitisha kwamba Dr. Luis Shika amelipwa ili atokee kwenye hiyo video ya Msanii wa Bongofleva ambae alisema hawezi kumtaja kwa sasa.
Hili linakua dili la pili kwa Dr. Luis Shika kulipwa ili kuuza sura ambapo dili la kwanza lilikua ni tangazo la SOKA BET ambako pia alilipwa na kampuni hiyo ilithibitisha kufanya hivyo.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();