Jengo la TANESCO Ubungo lilivyopigwa X baada ya JPM kuagiza (+video) - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 21, 2017

Jengo la TANESCO Ubungo lilivyopigwa X baada ya JPM kuagiza (+video)

Karibu sana mainfo93.com kila muda upate mpya zote za town. Pia jiunge na facebook group #MAGAZETI YA LEO
Juzi President John Pombe Magufuli alitembelea na kufanya ukaguzi kwenye eneo la Ubungo ambako kutajengwa barabara za
juu kurahisisha magari kupita bila kupanga foleni ambapo aliagiza sehemu ya jengo la TANESCO na Idara ya maji zibomolewe kupisha ujenzi huo.
Taarifa ni kwamba sehemu hizo zilishapigwa X ambapo unaweza kujionea zaidi kwenye hii video fupi hapa chini kutoka upande wa
TANESCO Ubungo.




'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();