INSHU YAKULIPIA KODI YA NYUMBA MIEZI SITA AU MWAKA YAPIGWA STOP - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 17, 2017

INSHU YAKULIPIA KODI YA NYUMBA MIEZI SITA AU MWAKA YAPIGWA STOP

Moja ya habari kubwa kutokea Bungeni Dodoma leo November 17, 2017 ni pamoja na kauli ya Serikali kuhusu
kubadilisha utaratibu kwa Wapangaji wa nyumba kutotakiwa kulipa kodi za muda mrefu kama miezi sita au mwaka.
Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula alitolea ufafanuzi baada ya kuulizwa swali na Mbunge wa viti maalum CCM Halima Bulembo aliyetaka ihoji Serikali ni lini itabadilisha sheria hiyo.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();