TAMBWE SASA YUKO FITI KAMA BOMBARDIER AREJEA KUPIGA TIZI - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 22, 2017

TAMBWE SASA YUKO FITI KAMA BOMBARDIER AREJEA KUPIGA TIZI


Hope wadau mko powaaa. Karibuni sana mainfo nainte threee.kila siku kupata info zote za michezo bongo
Mshambuliaji machachari wa timu kongwe ya wanajangwani hamisi tambwe sasa
hali yake iko vizuri kiafya baada ya kukaa bila kukipiga kwa msimu huu wa ligi.
Siku nne mfululizo tambwe amekuwa akizunguka uwanja peke yake ili kuimarisha misuri ya guu lake machachari wa kutikisa nyavu.
Leo hii katika uwanja wa uhuru ameungana na wenzake rasmi na anapiga tizi kama kawa.

Awali, kwa takribani siku nne, Tambwe amekuwa akizunguka uwanja peke yake wakati wenzake wakiendelea na mazoezi.
Lakini leo amejumuika na wenzake katika mazoezi na ameonyesha kuwa yuko vizuri kutokana na kushiriki katika zoezi la upigaji mashuti.
Tambwe amekuwa kati ya wachezaji waliopiga mashuti makali katika mazoezi ya leo.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();