Dk wa 900 itapendeza atoa kali mpya - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 15, 2017

Dk wa 900 itapendeza atoa kali mpya


Dk Louis Shika ambaye amekamata vichwa vya vyombo vya habari baada ya uamuzi wake wa kuzinunua nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi, amesema
anapenda michezo lakini si kihivyo sana.
Katika michezo anayoipenda, Dk Shika amesema kuwa anashabikia zaidi soka la England na timu inayomvutia ni Chelsea.
Shika amesema  anaupenda mpira na uamuzi wake wa kuishangilia Chelsea ni kwa kuwa inamilikiwa na rafiki yake.
Shika amesema Chelsea inamilikiwa na Roman Abramovich, bilionea raia wa Russia ambako Dk Shika alipata elimu yake ya udaktari.
“Napenda michezo na soka ndiyo zaidi. Timu za nje ndiyo napenda zaidi mpira wao, nashangilia sana Chelsea.
“Unajua mmilili wake (Abramovich) ni rafiki yangu,” alisema.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();