MWANAMKE ALIYEPOST AKIWA NA ODINGA AWASHUKURU WAKENYA KWA KUMPA UMAARUFU - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 22, 2017

MWANAMKE ALIYEPOST AKIWA NA ODINGA AWASHUKURU WAKENYA KWA KUMPA UMAARUFU

Karibu sana mainfo nainte three tutafute google @mainfo93. Bofya hapo juu palipoandikwa subcribe uwe wa kwanza kujua tulichopost

Mwanamke aliye make bonge moja la kik mtandaoni,hususani facebook kupitia page yake, mara baada ya kupost
picha za kiaina yake huku akiwa na raila odinga visiwani zanzibar. Amekuja juu na kuwashukuru wakenya wote waliozishobokea picha hizo na kukuza hali ya mambo.
Aidha,mwanamke huyo amesema hiyo kik itamsaidia kutangaza biashara yake ya spa.
Hata hivyo watu bado hawaelewi hatima ya mwanamke mfanyabiashara huyo.


Kenyans have taken those pictures saying all sorts of things calling me names, I wanna say thank you so much my fellow countrymen you've shown the world what your made of, You just landed me a huge deal,” She said in the post.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();