MUGABE AMEJIUZULU RASMI URAISI - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 21, 2017

MUGABE AMEJIUZULU RASMI URAISI

Breaking news kutoka Zimbabwe ni kwamba
Robert Mugabe amejiuzulu na kuachia kiti cha Urais ambapo Spika wa Bunge ndio ametangaza kujiuzulu kwa Mugabe.
Spika wa Bunge Jacob Mudenda amesema maamuzi hayo ya Mugabe ni ya kujitolea na amefanya hivyo ili kuweza kuwepo kwa mabadiliko mazuri ya mamlaka ambapo kauli hiyo ya Bunge ilizuia mpango wa Bunge  ambao ulikua ni kupiga kura ya kutokua na imani nae.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();