HILI HAPA TATIZO LA TSHISHIMBI - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 16, 2017

HILI HAPA TATIZO LA TSHISHIMBI

Taarifa za kikachero toka mainfo93.zinadai kuwa mchezaji wa yanga tshipimbi

anasumbuliwa na ugonjwa wa malaria na hivi punde atarejea mazoezini.
Awali hofu ilikuwa huenda akakosa ligi kwa sababu ya dili kubwa. Lakini hli ya mambo ni kwamba atarejea hivi punde.

"Hali yake imeimarika sana, alikuwa anaumwa malaria tu lakini sasa anaweza kuanza mazoezi," kilieleza chanzo.
Kumekuwa na taarifa nyingi kuhusiana na Tshishimbi raia wa DRC na nyingi zimekuwa zikinakinzana.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();