MECHI YA SIMBA vS LIPULI IKIISHA NIYONZIMA ANASEPA ZAKE RWANDA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 22, 2017

MECHI YA SIMBA vS LIPULI IKIISHA NIYONZIMA ANASEPA ZAKE RWANDA

Hope wadau mko powaaa. Karibuni sana mainfo nainte threee.kila siku kupata info zote za michezo bongo

Mchezaji wa timu ya simba,mnyarwanda niyonzima amesema kuwa gem ya lipuli ikimalizika anaondoka
na kwenda kwao rwanda kwa ajiri ya kwenda kuhani msiba wa ndugu yake,pia ikiwa ni pamoja na kuhani msiba wa ndikumana.

“Nilitakiwa leo Jumanne (jana), niende Rwanda kwa ajili ya kuhudhuria kwenye misiba kama mitatu hivi iliyotokea nikiwa Mbeya kwenye majukumu ya klabu yetu, maana kama unakumbuka kwenye mchezo wetu wa kwanza dhidi ya Mbeya City nilifiwa na mama yangu mlezi.
“Lakini pia siku chache kabla ya kukutana na Prisons katika mchezo wetu wa Jumamosi iliyopita nilipata misiba miwili tena kwa mkupuo, ambapo ndugu yangu kabisa Hamad Ndikumana alifariki dunia pamoja na mchezji mwezangu wa timu ya taifa naye alifariki ghafla jambo ambalo kwa namna moja au nyingine limeniuma hivyo lazima niende,”alisema Niyonzima.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();