RWANDAMINA APIGA PUSH UP KUONYESHA YUKO FITI - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 23, 2017

RWANDAMINA APIGA PUSH UP KUONYESHA YUKO FITI




Kwa mwonekano, Kocha Mkuu wa Yanga, George Lwandamina ni mtaratibu sana na wengi hujiuliza anaweza vipi
kuwa kocha mzuri.
Lakini baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, wengi wakaanza kumuamini.
Pamoja na hivyo, inakuwa vigumu kuamini kwa umbo lake kubwa anaweza kuwa akifanya mazoezi kwa mifano.
Lwandamina ameonyesha yuko fiti katika mazoezi ya Yanga yaliyofanyika juzi baada ya kufanya mazoezi kwa vitendo huku akiruka juu kama Mmasai anapokuwa akicheza ngoma.
Kocha huyo raia wa Zambia alimaliza kabisa baada ya kuamua kutoa ,mfano katika upigaji wa push up wakati akiwaonyesha wachezaji wake
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();