AJARI YAUA WATU 33 - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 13, 2017

AJARI YAUA WATU 33


ajari mbaya imetokea na
kusababisha vifo

Radio ya umoja wa mataifa nchini DRC imesema takriban watu 33 wamefariki katika ajali ya treni.
Ajali hiyo imetokea katika mji wa Buyofwe Kusini mwa jimbo la Lualaba.
Taarifa kutoka Radio Okapi zinasema treni hiyo ilianguka kisha kuwaka moto.
Gavana wa jimbo la lualaba amekiri kutokea kwa ajari hiyo
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();