KOCHA WA SIMBA AWAAMBIA YANGA WAPAMBANE NA HALI YAO. WASIMGUSE MO IBRAHIM - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 20, 2017

KOCHA WA SIMBA AWAAMBIA YANGA WAPAMBANE NA HALI YAO. WASIMGUSE MO IBRAHIM


Hivi karibuni kumekuwa na rumous za kuwa makachero wa jangwani wanammezea mate kiungo mshambuliaji wa simba
mohamed ibrahim a.k.a "mo". Kwa kile walichoona kuwa anasugua bench sana akiwa simba hivyo wanataka atue jangwani.

Lakini kocha mkameroon wa simba, omog amecharuka na kutema cheche kuwa yanga wakae mbari na "mo" kwa kuwa haendi popote.

“Kama kuna timu yoyote inamhitaji Mo kwa sasa hawezi kuondoka, bado tunamhitaji zaidi katika kikosi chetu na uongozi nimeshauambia juu ya hilo.
“Nilikuwa simtumii kwa sababu alikuwa ni majeruhi na sasa amepona, ndiyo maana unaona nimeanza kumtumia na matunda yake yanaonekana uwanjani, sipo tayari kuona akiondoka kikosini kwangu kwa sasa kama hao Yanga wanamtaka basi wasubiri lakini siyo sasa,” alisema Omog.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();