WOLPER ASEMA ANAUACHA MOYO USUKUME DAMU, HANA HAMU NA WANAUME TENA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 09, 2017

WOLPER ASEMA ANAUACHA MOYO USUKUME DAMU, HANA HAMU NA WANAUME TENA

Star mwenye mng'aro kama kikombe cha kahawa kutokana na jicho lake la kimtego, Jacqueline wolper ametoa povu kuwa
hana hamu na midume kwa sasa kwa kuwa kila anapojaribu kuonyesha upendo wa dhati anaambulia maumivu ya moyo. Akiongea na satra mix wolper alifunguka kuwa kuna midume kibao yenye mitonyo ambayo inaonyesha haja ya kumtaka kimapenzi, lakini yeye anaona ni kama usumbufu kwa kuwa wanaume wengi si waaminifu wakisha chovya asali wanatupa kibuyu.

Wolper akliyasema haya akiongea na satr mix       “Sina mpenzi kwa sasa nimeona bora niweke pembeni haya mambo nidili na kazi zangu tu ndo muhimu, nikipenda hawa wanaonisumbua `now’ nitapenda na nitakuwa kimapenzi, lakini bado wote wanaonisumbua hakuna aliyefaulu kunishawishi niwe naye,” alisema Wolper


                     
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();