Kagera Sugar wao wamewatakia mashabiki wao Eid Mubarak na kusisitiza washerehekee kwa pamoja na kudumisha amani na upendo miongoni mwao
Kagera Sugar fc tunawatakia Eid Mubarak tusherehekee kwa pamoja na kudumisha amani na upendo miongoni mwetu
A post shared by kagerasugarfootballclub (@kagerasugar) on Jun 25, 2017 at 1:24pm PDT
Haji Manara yeye amewataka mashabiki wake kuitumia Eid Mubarak kusameheana na kwa wale wanaotumia mitandao kutukana wenzao,kisa kutofautiana mitazamo,tuwaombee kwa Mola awasamehe.
Eid Mubarak my people;tutumie Sikukuu hii kusameheana na kwa wale wanaotumia mitandao kutukana wenzao,kisa kutofautiana mitazamo,tuwaombee kwa Mola awasamehe, mina l aa-idina
A post shared by Haji S Manara (@hajismanara) on Jun 25, 2017 at 10:42pm PDT
Klabu ya Azam nao wamesema haya katika kutoa heri za sikukuu ya Eid "Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, @azamfcofficial, inawatakia Waislamu wote duniani Eid Mubarak."
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, @azamfcofficial, inawatakia Waislamu wote duniani Eid Mubarak. @ Eid Mubarak to all Muslim around the World.
A post shared by Azam Football Club (@azamfcofficial) on Jun 25, 2017 at 12:45pm PDT
Chuji ameposta maneno haya katika ukurasa wake wa kijamii katika kusheherekea sikukuu ya Eid "Eid Mubarak all Muslim nakunda mama yangu mungu atupe mwisho mwema amin"
Eid Mubarak all Muslim nakunda mama yangu mungu atupe mwisho mwema amin
A post shared by chuji4 official (@chuji4_official) on Jun 26, 2017 at 12:32am PDT
Mbwana Samatta yeye alikua na haya yakusema "Eid mubarak marafiki zangu na msiokuwa marafiki zangu waislam na wasiokuwa waislam, pamoja na familia zenu muwe wenye furaha na amani