CHID BENZ KAYASEMA HAYA BAADA YA KUTOKA CHIMBO NA KUACHA KUVUTA DRUGS - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 10, 2017

CHID BENZ KAYASEMA HAYA BAADA YA KUTOKA CHIMBO NA KUACHA KUVUTA DRUGS

Mwanamziki wa bongo flavor,chid benz kwa sasa amerudi dar baada ya kutoka iringa kwenye kambi ya kituo cha kusaidia wahanga wa madawa ya kulevya. kayasema haya.


“Wakati natumia dawa za kulevya nilikuwa naishi kwenye mageto ya washikaji mitaa ya Kinondoni, sikuhitaji kukaa nyumbani kwa sababu mazingira hayakuwa r a f i k i k w a n g u katika kutumia madawa hayo,” alifunguka Chid na kuongeza
kuwa; “Mama yangu kwa sasa anafuraha sana, lakini nina mpango wa kuiunganisha familia yangu pamoja, namaanisha watoto wangu ingawa katika hili naomba niishie hapa, nisiingie ndani zaidi maana si vizuri kuzungumza kila kitu.”
Alipokuwa Zanzibar alifanya nini? Akifunguka kuhusu maisha yake ya Zanzibar, Chid Benz alisema kuwa kikubwa ilikuwa ni kupumzika na kutumia muda mwingi kufikiria maisha yake, alikotoka na anakoelekea. Tofauti na hivyo alisema alikuwa anatembelea studio za washikaji zake wa zamani ambao alikuwa nao karibu kabla hajaingia kwenye matumizi hayo ya madawa ya kulevya. Kapika dude na Q-Chillah “Nimeingia studio pale Kill Records na kufanya kazi na mkongwe mwenzangu Q- Chillah ambayo itatoka soon.
Menejimenti yangu inajipanga kwa sasa juu ya kufanya video kali na kila kitu kikikamilika nitaachia ngoma hewani,” alisema Chid Benz.


'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();