MAUNDA ZORO ASEMA KULEA MUME NA MTOTO KUNA MBANA KU......... - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 09, 2017

MAUNDA ZORO ASEMA KULEA MUME NA MTOTO KUNA MBANA KU.........

Mkali wa ala za bongo flavor kutoka 255 bongo tz mwanadada maunda zoro anasema kuwa suala la kulea mtoto pamoja na kumlea mwandani wake kunambana kufanya
kazi zake za kimziki kwa kuwa muda mwingi yupo bize kuhudumia familia yake. alipokuwa akihojiwa na star mix, maunda aliyasema haya.

 “Kwa sasa nalea watoto na pia mume wangu anahitaji muda wangu mwingi, hivyo unakuta nashindwa kujigawa kwa namna ambavyo watu wanataka lakini Inshallah Mungu akijaalia nitaimba tena, ingawa siwezi kuhakikisha kwa asilimia zote,” alisema Maunda



'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();