MWANAMKE AKAMATWA KWA KUWAFUNDISHA MBWA KUBWEKA KILA WANAPOMUONA RAISI KWENYE TV - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 02, 2017

MWANAMKE AKAMATWA KWA KUWAFUNDISHA MBWA KUBWEKA KILA WANAPOMUONA RAISI KWENYE TV

Mwanamke mmoja amezua utata kwa kile kinachodaiwa kuwafundisha mbwa
wake kubweka na kupiga mayowe kila wanapomuona raisi wa south africa jacob juza akihutubia kwenye tv au hata wanapoisikia sauti yake kwenye redio. Mwanamke huyo alikamatwa mnamo april 11 2017, kwa kosa la kuwafundisha mbwa wake 7 ili kila wanapomuona zuma akihutubia waanze kubweka. Majirani waliriport kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka 65 Karen van rooyen alikuwa akionekana na mbwa wake hao ambapo kila walipoona picha ya zuma au sura basi wanaanza kubweka kwa fujo.




 Alipohojiwa mwanamke huyo alijibu kuwa halikuwa ni tukio la ubaguzi wa rangi bali aliwafunza mbwa hao miaka mitatu ilyopita ili wawe wana mupdate kama raisi yupo online kwa kuwa hupenda kumsikiliza raisi. mtuhumiwa huyo atapandishwa tena kizimbani mwezi huu kujibu mashtaka
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();