MLINZI AUAWA KINYAMA KWA KUKATWA KATWA MAPANGA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 10, 2017

MLINZI AUAWA KINYAMA KWA KUKATWA KATWA MAPANGA

Katika hali ya kutisha mlinzi mmoja ameuawa kwa kukatwa katwa mapanga na watu, hayo yamejiri wakati mlinzi huyo akiwa katika kutekeleza wajibu wake wa kikazi ambapo watu wasiofahamika wametenda tukio hilo huko sengerema mkoani mwanza katika kijiji cha SIMA. Diwani wa kata hiyo amemtaja Selemani Buyoga kuwa ndiye aliyeuawa, kijana huyo mwenye umri wa miaka 24 alikatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana. Pia mlinzi mwingine amejeruhiwa katika tukio hilo.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();