AUNT LULU NA ISABELA WACHAFUA HEWA MSIBANI, WATIA AIBU - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 10, 2017

AUNT LULU NA ISABELA WACHAFUA HEWA MSIBANI, WATIA AIBU



Warembo wanaomake skandali ndani ya bongo 255 Aunt lulu na mwenzake isabela wamechafua hali ya hewa katika msiba wa aliyekuwa balozi wa tanzania nchini malasyia ambaye alizikwa katika Makaburi ya Kisutu ambapo kabla ya mwili wake kupumzishwa kwenye nyumba ya milele uliagwa nyumbani kwake Mikocheni B jijini Dar na kuhudhuriwa na watu kibao wakiwemo watu mashuhuri.

Katika hali iliyowashangaza wengi wakati kina mama wengine wanaendelea na dua, Aunt na isabela wao walikuwa bize nyuma ya nyumba ya marehemu wakipiga vitu vya kulewesha yaani migambe, huku wakijipitisha pitisha kwa waombolezaji na kuleta hali ya fujo kwa watu.

“Nimekuja kumuaga kaka yangu, yaani Mmakonde mwenzangu, Sisco aliwahi kunisaidia mengi sana kwa hiyo huzuni niliyonayo imenifanya ninywe tu nilewe ili nisahau maana nimeumizwa sana na kifo chake,” alisema Isabela. 




'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();