MAN U WAAMTEMA GRIEZMANN - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 01, 2017

MAN U WAAMTEMA GRIEZMANN

Timu ya manchester united imejikuta
katika wakati mgumu kuhusu suala la kumsaini antonie griezmann, Kumetokea inshu ndani ya club ya atletico madrid ambapo walikuwa wamekata rufaa mahakamani ili kuzuia kifungo walichopewa cha kutofanya usajiri hadi january 2018.
Lakini rufaa hiyo imekataliwa na kupelekea atletico kutokuwa tayari kumuachia GRIEZMANN kwa kuwa watapata gape kubwa. mkataba wa GRIEZMANN ndani ya atletico unaisha 2021
Man u walihitaji kumsaini Antoine Griezmann ili ajaze pengo la majeruhi wao Ibrahmovic.


'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();