AJIBU ANATAKA MILLION 60 KUMWAGA WINO SINGIDA UNITED - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 05, 2017

AJIBU ANATAKA MILLION 60 KUMWAGA WINO SINGIDA UNITED

Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib, anahitaji kitita cha shillingi million 60 ili
aweze kusaini ndani ya team ya singida. Hayo yamejiri kwa kuwa mchezaji huyo amemaliza mkataba wake ndani ya simba na anahitaji kwenda club nyingine itakayomtaka.

           Mwenyekiti wa kamati ya usajiri wa singida utd amesema

 “Ni kweli tunawahitaji na tumefanya nao mazungumzo na tumeweka wazi kiasi ambacho tunacho mkononi, ila inaonekana wao bado hawapo tayari, hivyo tunawasubiri  wao wakiwa tayari sisi hatuna shida muda wowote wakitufuata tutasaini,” alisema Sanga.

 Pia club hiyo inamtaka mchezaji wa Yanga, Deus Kaseke ambaye naye anahitaji Sh milioni 40.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();