VIDEO:SPORT PESA SUPER CUP YAGEUKA KUWA PENALT SUPER CUP - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 09, 2017

VIDEO:SPORT PESA SUPER CUP YAGEUKA KUWA PENALT SUPER CUP

Mikikimikiki ya sport pesa super cup imefika fainali huku timu toka bongo zikiwa zinaambulia patupu na kuwaachia wakenya kuja kukipiga na everton ndani ya JPM land, ilianza
timu ya singida united kwa kutolewa, ikafuata simba Jang'ombe ya zanzibar na hatimaye yanga akatolewa nusu fainali. Penalt ndizo zimeteketeza ndoto za wabongo kuiona everton ikichuana na club toka tanzania.

Sababu kubwa ya simba na yanga kufanya vibaya ni kukosekana kwa nyota muhimu wa timu hizo ambao wapo katika kuitumikia timu ya taifa. wakenya sasa watachuana katika fainali ili kumpata atakaye cheza na everton.
                                                    YANGA WALIVYOTOLEWA


'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();