ETHIOPIA YAFUNGA MTANDAO WA INTERNET KUZUIA MITIHANI YA TAIFA KUVUJA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 02, 2017

ETHIOPIA YAFUNGA MTANDAO WA INTERNET KUZUIA MITIHANI YA TAIFA KUVUJA

Serikali ya nchini ethiopia imezuia kwa muda mawasiliano ya njia ya internet ili
kuzuia kusambaa kwa paper za mitihani mtandaoni, mwaka jana serikali hiyo pia ilifanya hivyo kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kujaribu kuzuia tabia za wananchi kuiba mitihani ya taifa na kuivujisha mitandaoni.
Msemaji wa serikali amekaririwa akisema ''kuzima mitandao inalenga kuzuia uvujaji uliotokea mwaka jana''.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();