Nimekusogezea picha toka uwanja wa majengo ambapo shughuri ya kumuaga mwanachadema ndesambuRo inafanyika, Philemon Ndesamburo May 31, 2017 ndipo
alifariki ghafra akiwa ofisini. Aliwahi kuwa mbunge wa moshi mjini, pia alikuwa ni mtu muhimu ndani ya CHADEMA na upinzani kwa ujumla. Ataagwa leo na zoezi la kuzungusha mwili wake litafanyika moshi nzima ili watu wapate fursa ya kumuaga.