Pluijin: "Si sawa Ngoma Kutua Simba - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 28, 2017

Pluijin: "Si sawa Ngoma Kutua Simba




Pluijm amesema
 atashangaa kwa kiwango chake alichonacho akiendelea kubaki kucheza soka nchini Tanzania.

Aliongeza kuwa, kwa aina ya uchezaji ya Ngoma, anastahili kucheza Afrika Kusini kwenye soka la kasi, nguvu, stamina na akili katika kupambana na mabeki.

“Hivi ni kweli Ngoma anakuja kusaini mkataba Simba? Kama ni kweli sidhani kama ni sawasawa, lakini ngojea tuone, mimi ninachojua ana ofa nyingi amezipata nchi mbalimbali kati ya hizo ni Afrika Kusini.

“Kwa uwezo na aina yake ya uchezaji, anastahili kucheza soka huko kwani Ligi Kuu ya Afrika Kusini inahitaji wachezaji wa aina ya Ngoma.



“Soka la Afrika Kusini ni la kasi na ushindani, pia inahitaji mchezaji mwenye stamina, pumzi na nguvu za kutosha za kupambana na mabeki hatari,” alisema Pluijm ambaye siku hizi ni kocha wa Singida United iliyopanda daraja msimu huu.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();