MESSI SASA KUACHANA NA UBACHELOR, AVUTA JIKO - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 09, 2017

MESSI SASA KUACHANA NA UBACHELOR, AVUTA JIKO


Mchezaji hatari zaidi katika sayari hii, mkali wao lionel messi sasa anaachana na ukapela na kuamuwa kufunga ndoa na mubashara wake
wakuitwa  Antonella Roccuzzo   messi amewaalika takribani wachezaji wote wa barca pamoja na kocha wao wa zamani lakini mtu mmoja luis enrique pamoja na shakira na pique hajapewa mualiko wowote hadi hivi sasa. messi atafunga ndoa june 30 mwaka huu. Hadi hivi sasa imejulikana kuwa harusi itafanyika katika hoteli ya Pullman ambayo tayari vyumba 250 vimeshachukuliwa na mastar kibao.

                                                     MESSI AKIPIGWA BUSU MASHTATI





MESSI ALIWA NA ANYESHONA SUTI YAKE YA HARUSI









'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();