ROMA KUJA KIVINGINE,SASA YUKO TAYARI KUFANYA SHOW KWA SPEED YA JAZA UJAZWE - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 09, 2017

ROMA KUJA KIVINGINE,SASA YUKO TAYARI KUFANYA SHOW KWA SPEED YA JAZA UJAZWE

Ibrahimu mussa a.k.a roma mkatoliki ni moja kati ya marapa wakubwa ndani ya bongo 255, sasa amesema kuwa saivi yupo vizuri na afya yake imeimarika kuanza makamuzi upya na kwa kasi ya jaza ujazwe. Roma amefunguka mengi kuhusu kazi ya muziki na hiki ndicho alichokisema.

“Nimfika hapa kwa ajili ya kutoa
neno la shukrani kwa jinsi ambavyo tmekuwa tukifanya kazi pamoja, pamoja na matatizo yaliyotukuta mimi na wenzangu lakini nyinyi Global Publishers mmeendelea kuwa na mimi katika kipindi chote hicho.
“Mtu akiona nimeweza kutembea kutoka nyumbani mpaka kufika hapa ofisini (Global PUblishers), basi ajue nipo fiti, na ninaendelea vizuri. kama nimeweza kushika maiki, nikazungumza basi hata Dar Live naweza kushika maiki (akimaanisha kufanya shoo).
“Niliona kipindi cha matatizo mlitupigania, magazeti ya Global Publishers yalifanya coverage nzuri na mlikuwa upande wetu. Kiukweli tulifarijika kuona watu wengi wakitutia moyo na kutupatia neno la faraja,” alisema Roma.


'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();