ATUHUMIWA KWA KOSA LA KUWAPA MIMBA WANAWAKE 60 - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 04, 2017

ATUHUMIWA KWA KOSA LA KUWAPA MIMBA WANAWAKE 60

Mtu mmoja anaandamwa na rundo la wanawake wanaodai kuwa wamepatiwa ujauzito na mtuhumiwa huyo, wanawake wapatao 60 pamoja na familia zao
wamewasilisha shitaka mahakamani wakishinikiza kufanywe uchunguzi dhidi ya daktari aitwaye Jan Karbaat anayetuhumiwa kutumia vifaa vya kitabibu kuwapachika mimba wanawake hao.
Daktari huyo raia wa uholanzi alitumia mbegu zake alizohifadhi katika vifaa maalum na kuwatundika wanawake waliokuwa wakienda kutibiwa katika clinic yake. Hata hivyo taarifa zinadai daktari huyo mwenye umri wa miaka 89 alifariki mwezi 4 lakini wanawake hao wanadai fidia toka kwa familia ya bwana huyo. wanawake hao pamoja na watoto wao wamewasili mahakamani kupeleka shitaka wakidai matunzo na fidia.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();