wamepata majeraha huku wengine wakizimia kutokana na taharuki iliyotokea kwa kurushwa vifaa vinavyosadikia kuwa nivilipuzi.
Mashabiki hao walipoona hali hiyo ilibidi waanze kutaharuki huku na kule hadi kupeleke mkanyagano uliosababisha watu 400 kujeruhiwa. AFP wameripoti kuwa chanzo kikuu cha mkanganyiko huo ilikuwa ni panic iliyowakuta mashabiki hao kwa kichapo cha 4-1.
Kocha wa juve alisema haya baada ya tukio hilo
"I would just like to say that we feel for what happened to our fans in Turin. There was an incident there; we hope that not too many people were injured."