MBARAKA YUSUPH AMWAGA WINO AZAM FC KWA MILLION 40 - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 10, 2017

MBARAKA YUSUPH AMWAGA WINO AZAM FC KWA MILLION 40

Mchezaji aliye kwenye form kwa sasa, mbaraka yusuph sasa amejiunga na club ya azam fc baada ya john bocco kuondoka azam, mbaraka amesaini mkataba wa miaka miwili huku akilipwa shillingi million 40 katika deal hiyo. Abdul Mohammed. wa azam fc amedhibitisha na kushuhudia kutiana saini na mbaraka.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();