TRUMP AITOA U.S.A KWENYE MKATABA WA PARIS - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 02, 2017

TRUMP AITOA U.S.A KWENYE MKATABA WA PARIS

Raisi trump ametangaza kuitoa marekani kwenye makubaliano ya mkataba wa paris yaliyitiwa saini
mnamo mwaka 2015 na mtangulizi wake obamba. Trump amefikia maamuzi hayo kwa kile alichodai kuwa mkataba huo si wa haki kwa kuwa unahatarisha mamillioni ya nafasi za kazi kwa watu wa marekani, kujitoa katiaka mkataba huo lilikuwa ni mojawapo ya lengo la trump kipindi cha kampeni na amedai kuwa yupo tayari kuanzisha mkataba mwingine au kurejea ndani ya mkataba huo kwa masharti maalumu. Mkataba huo unaohusu mazingira unazirenga nchi zinazochangia kwa kiasi kikubwa katika uchafuzi wa mazingira.


'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();