MWALIMU AMPA KIPIGO MWANAFUNZI HADI KUFARIKI - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 06, 2017

MWALIMU AMPA KIPIGO MWANAFUNZI HADI KUFARIKI

Katika hali isiyo ya kawaida mwalimu mmoja wa shule ya private amejikuta akikabiliwa na mkono wa sheria kwa kosa la kumpiga mwanafunzi hadi kumuua. Taarifa
zinadai kuwa mwanafunzi SALEH ABDUL MASOUD mwenye umri wa miaka 11 aliyekuwa akisoma shule ya msingi katika skul ya ROLWAY INTERNATIONAL iliyopo mkoa wa kusini zanzibar amefariki dunia kwa kuchapwa na mwalimu wake aliyekuwa akimlazimisha kutoka darasa moja kumpeleka darsa jingine ndipo tafrani ilipotokea na mwalimu huyo kutumia mabavu kumcharaza kijana huyo hadi umauti.
Kamanda wa polisi mkoa wa kusini amethibitisha tukio hilo na uchunguzi wa kina unafanyika ili sheria iweze kuchukua mkondo wake.

Aidha, waziri wa elimu Riziki Pembe amelaani vikali kitendo hicho na kudai kuwa hakivumiliki kwamwe na kufikia hatua ya kuifunga mara moja skul hiyo.Skul hiyo imefungwa na uchunguzi zaidi unafanyika juu ya tukio hilo
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();