Watafiti wa usalama wamegundua chanjo ya shambulio la uhalifu wa mitandaoni lililoathiri mashirika tofauti duniani siku ya Jumanne.
Utengezaji wa faili moja unaweza kuzuia shambulio la mashine yote.
Hatahivyo watafiti hawajafanikiwa kupata suluhu ya mara moja itakayoweza kuzuia kirusi hicho kuenea katika kompyuta nyengine ambazo hazina kinga.
Wataalam bado hawajui shambulio hilo linatoka wapi na lengo lake ni nini.
Huku ikidaiwa kwamba kikombozi inachotaka ni cha kiasi kidogo cha dola 300, wengi wanadai kwamba shambulio hilo linaweza kusababisha madhara mabaya zaidi ama hata kutoa tamko la kisiasa.
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();