AHUKUMIWA KIFO KWA KUMUUA BABU YAKE - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

June 07, 2017

AHUKUMIWA KIFO KWA KUMUUA BABU YAKE

Kijana mmoja toka mkoa wa songwe amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kumuua babu yake, kijana huyo kwa jina la Jofrey alitenda kosa hilo na mahakama ya kanda
ya mbeya imetoa hukumu hiyo baada ya kujiridhisha na maelezo ya upande wa walalamikaji.
Jofrey alimuua babu yake mwaka 2012 kwa kumkaba koo kisha kumfunga chandarua na kumtundika nje juu ya mti ili ionekane kuwa alijinyonga, baba mzazi wa jofrey akiwa katika upande wa babu wa jofrey alidai kuwa mwanae huyo anastahili adhabu hiyo.
Jofrey alipopewa nafasi ya kujieleza alisema hana cha kujitetea na hukumu hiyo ikapitishwa
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();