WOLPER ATOA POVU JUU YA X-WAKE - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

September 13, 2017

WOLPER ATOA POVU JUU YA X-WAKE

‘Dawa ya Moto ni moto’. Saa chache baada ya staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper, kushusha kichambo kinachodhaniwa kuwa ni ‘spesho’ kwa X- wake kwenye ukurasa wake wa Instagram, hatimaye X-wake huyo naye amemjibu kwa staili hiyohiyo.

“Vipi kwani mbona nasikia mtaa wa 3 povukwani katajwa mtu? Msg ikishafikaga ukweli unaumaga nimechoka mwambie tena anayejifanya anakujua sana pambana na huba lako” ameandika X- wa Wolper.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();