PLAN YA KUMPELEKA LISU MAREKANI ZAGONGA MWAMBA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

September 21, 2017

PLAN YA KUMPELEKA LISU MAREKANI ZAGONGA MWAMBA

Kulikua na mipango ya kumpeleka Marekani Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu ambae amekua akitibiwa Nairobi Kenya kutokana na majeraha ya risasi alizopigwa Dodoma September 7 2017.
Mipango ya kumpeleka Marekani ilikua ni kwa ajili ya kumpatia matibabu bora zaidi chini ya Hospitali yenye uwezo mkubwa wa Madaktari na teknolojia lakini mipango hiyo imefutwa kwa sasa kutokana na ushauri wa Madaktari wa Hospitali alikolazwa Kenya.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();