Habari toka chemba ya kikachero ya mainfo93 zinadai kuwa watanzania wapenzi wa chadema waishio mambele wameanzisha kampeni ya kuchangisha pesa ili kusaidia matibabu ya tundu lisu.
Aidha wamechangia hadi sasa takribani $9,998 sawa na tsh/million 22.3
Aidha lengo kuu lilikuwa ni kuchangia kiasi cha dola $50,000 sawa na tsh/million 112 kwa ajiri ya kumsafirisha lisu hadi marekani kwa matibabu.
campeni hiyo inaendeshwa kupitia https://www.gofundme.com/Lissumedicalcare/donate. na hadi sasa ni siku nne tu wamekusanya kiasi hicho.
cha millioni 22.3