SERIKALI YAFUTA SHAMBA MANJI AMBALO YANGA WALITAKA KUJEGA UWANJA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

September 13, 2017

SERIKALI YAFUTA SHAMBA MANJI AMBALO YANGA WALITAKA KUJEGA UWANJA

Serikali imefuta umiliki wa shamba lililokuwa linamilikiwa na Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji.
Shamba hilo lilili Kigamboni lenye ukubwa wa ekari 715, limerejeshwa serikalini baada ya uamuzi wa Rais John Magufuli.
Wakati hilo linatokea, Yanga watalikumbuka shamba hilo kwa kuwa Manji alijitolewa kuwa sehemu ya kujenga uwanja wa mazoezi.
Lakini tayari alikuwa na mpango wa kujenga uwanja wa kisasa kwa ajili ya klabu hiyo hasa kama wangeingia ule mkataba wa kukodisha kwa miaka 10 na kampuni yake ya Yanga Yetu Ltd.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();