WATOTO WATATU WAFARIKI KWA BOMU HUKO MONDULI - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

September 17, 2017

WATOTO WATATU WAFARIKI KWA BOMU HUKO MONDULI

Taarifa zinasema watoto watatu wa kijiji cha loksale huko wilayani monduli mkoani arusha wamefariki dunia kutokana na bomu lililowalipukia.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Arusha charles mkumbo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Aidha taarifa za kiundani zinadai kuwa watoto hao walikuwa wakichunga mifugo ndani ya eneo ambalo hutumiwa na jeshi la ulinzi kwa ajiri ya kufanyia mazoezi.
Mwenyekiti wa kijiji hicho bwana julius amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
mungu asilaze mahali pema roho za wapendwa wetu.wote tuseme amiiiiiiinnn
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();