Coutinho Atemwa Kikoso Cha Liverpool - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

September 09, 2017

Coutinho Atemwa Kikoso Cha Liverpool

Jurgen Klopp ametangaza kufikia maamuzi hayo akitaja kuwa ameamua kuwa atapanga kikosi kipya na nafasi ya
Coutinho anatajwa kuwa atachukua Oxlade-Chamberlain
aliyejiunga na Liverpool kwa pound milioni 35 akitokea
Arsenal .
Hata hivyo Jurgen Klopp ambaye amefanya maamuzi hayo anaripotiwa kufanya hivyo akiwa amekubaliana na
Coutinho “Nimeamua kumuacha katika kikosi kitakachocheza dhidi ya Man City kwa ajili ya kumpa siku tano sita za mazoezi mazuri na kujiweka fiti zaidi”

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();