“Mitambo tulishatest na El Merreikh na Esperence, kwa hiyo kesho hatutest mitambo tena” - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

September 08, 2017

“Mitambo tulishatest na El Merreikh na Esperence, kwa hiyo kesho hatutest mitambo tena”





Kwa mara ya kwanza Jumamosi ya September 9 2017 club ya Azam FC ya Chamazi itakuwa mwenyeji wa club ya Simba SC katika uwanja wa Azam Complex Mbande Chamazi, hiyo ni baada ya TFF kuridhia Azam FC kuanza kutumia uwanja wake wa nyumbani kwa michezo dhidi ya Simba na Yanga.
Kuelekea game hiyo kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja na meneja wa Azam FC Philip Alando wameongea na waandishi wa habari leo.
“Kwa niaba ya Azam FC tunashukuru kilio chetu cha siku nyingi sasa kimesikilizwa na tunacheza katika uwanja wetu, kesho tutakuwa hatutest mitambo kwa sababu mitambo tulishatest na El Merreikh na Esperence, kwa hiyo kesho hatutest mitambo tena ya uwanja tunaenda kufanya kazi”>>> Philip Alando
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();