WATU WASIOJULIKANA WAMPIGA RISASI MFANYABIASHARA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

September 18, 2017

WATU WASIOJULIKANA WAMPIGA RISASI MFANYABIASHARA

Mfanya biashara wa Mbeya. ndani ya  Lupa Tingatinga Town, Chunya District,  Mr Nestory Kyando, amepigwa risasi na watu wasiojulikana na kutokomea na kitita cha shilingi  Sh4 million kutoka kwenye duka lake.

Shahidi mmoja Mr Ibrahimu Khalid, amesema tukio hilo lilijiri majira ya saa, 21:15pm on Saturday September 16. ambapo watu hao walimlazimisha awape funguo ya duka lake kwa usalama wake. ndipo wakampiga risasi

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();