DIAMOND YA BILLION 66 YAKWEA BOMBADIA KWENDA MAMBELE - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

September 19, 2017

DIAMOND YA BILLION 66 YAKWEA BOMBADIA KWENDA MAMBELE

Madini ya diamonds yenye thamani ya $29.5 million, ambayo ilikamatwa na mamlaka katika uwanja wa Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam on August 31, ipo inachunguzwa na viongozi wa kiserikali
Dar es Salaam. viongozi wa serikali watasindikiza msafara wa kuisafirisha hadi  Antwerp, Belgium ambapo pia wanatarajia kushuhudia ukokotoaji wa thamani halisi ya madini hayo ambayo week iliyopita yaligundulika kushushwa thamani.

Aidha fomu ya kuthibitisha madini   diamonds hiyo ilionyesha kuwa bei halisi ni $14.7 million (Sh33 billion), ambapo uthaminishaji ulipofanyika tena na team ya Prof Abdulkarim Mruma kutoka Geological Survey of Tanzania (GST), iligundua kuwa diamonds hiyo ilikuwa na thamani ya $29.5 million (Sh66 billion).

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();