VIONGOZI WA MATAWI YANGA WARUHUSIWA KUFANYA MKUTANO,POLISI WAPOTEZEA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

January 09, 2018

VIONGOZI WA MATAWI YANGA WARUHUSIWA KUFANYA MKUTANO,POLISI WAPOTEZEA




Ule mkutano wa viongozi wa matawi yanga,uliokuwa ufanyike katika ofisi za makao makuu ya club hiyo lakini kukawa na zuio la polisi sasa mambo shwari wameruhusiwa kufanya mkutano.


Kibali maalum kimetolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani kuwaruhusu YAnga kufanya mkutano wao siku watakayokuwa wamepanga.

Awali, Jeshi la Polisi lilizuia mkutano wa viongozi hao wa Matawi wa Yanga uliokuwa ufanyike klabu hapo siku tatu zilizopita.

Lakini sasa, wizara hiyo imeandika barua na kusisitiza mkutano huo kuwa na manufaa kwa ajili ya klabu hiyo pia soka la Tanzania na si vinginevyo.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();