HUYU HAPA AMEWATOLEA POVU ZITO SIMBA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

January 09, 2018

HUYU HAPA AMEWATOLEA POVU ZITO SIMBA


Simba msipotulia , mtalikoroga
Ni kawaida kwa timu za Simba na Yanga na kwa ujumla timu nyingi kuchukua hatua pale mambo yanapoenda mrama mathalani vipigo mfululizo, kukosa kombe kwa muda mrefu, kufungwa na timu yenye uwezo mdogo na kwa ujumla matokeo mabaya na yasiyotarajiwa.

NA JOSEPH MSAMI, NEW YORK MAREKANI

Kwa bahati mbaya sana Simba na Yanga za Tanzania zinakabiliwa na shinikizo kubwa la mashabiki na wanachama jambo linaloweza kuzifanya kuamua mara nyingine hata kumfukuza kocha kwa vile tu kelele zimezidi. Uamuzi kama huo waweza kuwa namatokeo chanya u hasi kwa timu husika.

NA JOSEPH MSAMI, NEW YORK MAREKANI
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();