MWANAUME AJINYONGA KISA KAPIKIWA MAJANI YA KUNDE NA MKEWE - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

January 05, 2018

MWANAUME AJINYONGA KISA KAPIKIWA MAJANI YA KUNDE NA MKEWE


Mwanaume mmoja nchini Kenya anayejulikana kwa jina la Boniface Okwero anaripotiwa kujiua baada ya kupikiwa majani ya kunde na mkewe kama mlo wa siku ya Mwaka Mpya.

Okwero ambaye ni mkazi wa kijiji cha Nanyungu Emauko inaelezwa kuwa aliporudi nyumbani kutoka kwenye mizunguko yake siku hiyo ya Mwaka Mpya na kukuta  majani ya kunde, uliibuka ugomvi mkubwa baina yao huku akimuuliza mkewe kwanini hajapika nyama au kuku kama mlo wa sikukuu.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();