GIGY MONEY APIGWA RUNGU NA SERIKALI KISA MIPICHA YAKE - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

January 07, 2018

GIGY MONEY APIGWA RUNGU NA SERIKALI KISA MIPICHA YAKE

Juliana Shonza amemtaka msanii Gigy Money kufika ofisini kwake ”Ninamtaka Msanii wa Bongo Fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money kufika ofisini kwangu mara moja sababu alitumiwa ujumbe lakini hakujibu,hivyo ajue kuwa hawezi kushindana na serikali,”
“Serikali inafuatilia kwa karibu wasanii wote wanaoweka picha za kukosa maadili kwenye mitandao na kuwachukulia hatua hivyo ninamtaka msanii Jane Rimoy maarufu kama Sanchi kufika ofisini kwangu haraka,” -Juliana Shonza
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();